Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
[emoji120]natamani sana kukutana na wafuatao:Bujibuji,Beira Boy,kaka Mshana Jr,Bi mkubwa Faiza Fox,Shunie,Mzigua90
Kwa muandikio huo kumuzuia bora ndugu yangu asikuoneHahaaaa nitampa kweli tena nyingi mno acha kumuzuia
Kumbe wapo wadogo zaidi?? Bora kuonana na mzee mwenzangu Mshana maana nimesikia hata Saint Ivuga ana miaka 27Hiyo 25 mbona mkubwa
Ameshasema toto tundu hivi si anaweza kuwa na mtoto wangu wa piliKwa muandikio huo kumuzuia bora ndugu yangu asikuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe wapo wadogo zaidi?? Bora kuonana na mzee mwenzangu Mshana maana nimesikia hata Saint Ivuga ana miaka 27
Ngoja nmruhusu ye aje huku chembaAkaa staki tena. Nilitaka nikamtongoze pm kumbe ningepoteza tu muda wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuta hata yule last born wako kamzidi umri.Ameshasema toto tundu hivi si anaweza kuwa na mtoto wangu wa pili
Ahahahhah na kweli jf hapana aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuta hata yule last born wako kamzidi umri.
Sema unataka kumuona bure au utampa na hela za kumuona? Usimchoshe homie wangu bure
Asante sana mkuu one day tutaonananatamani sana kukutana na wafuatao:Bujibuji,Beira Boy,kaka Mshana Jr,Bi mkubwa Faiza Fox,Shunie,Mzigua90
Nina mahera had nahisi kuumwa ujue msukuma mie[emoji3][emoji3][emoji3] labda za kuchorwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wakunyumba kibubu kimevunjwa huku nakunywa heinken ngapi hapoView attachment 669301 hapa nipo kwa bed wala sijaenda bank
Wachaaa banaNina mahera had nahisi kuumwa ujue msukuma mie
Hahaaaa kwani mimi najisifiaga sisterMpole kwani huwa anajisifia
Hapo si umejisemea we ni mpole etiHahaaaa kwani mimi najisifiaga sister
Endelea kujidanganya mzigua si anajua mimi ndo sukar ya warembo wa jf sasa anashangaa kwanini bahat ya kuonana na sukar ya warembo haijamdondokea yeye bali imekuja kwakoHawezi nionea wivu
Hilo shuka mbona maua mengi halafu ya pink?View attachment 669301 hapa nipo kwa bed wala sijaenda bank
Hahaaa poa beibeakupe na screen shots zetu ikiwezekana itapendeza
Woiiiii sasa nani anataka kuonana na hiyo sukari ya warembo wa jfEndelea kujidanganya mzigua si anajua mimi ndo sukar ya warembo wa jf sasa anashangaa kwanini bahat ya kuonana na sukar ya warembo haijamdondokea yeye bali imekuja kwako