Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Dah! Kujaribu kuhisi huyo espy eti anaweza kuwa sura ngumu kama chige itakuwa ni kumkosea kweli kweli manake itakuwa hata salamu njiani hazipati!
 
Unaweza ukakutana na mkeo au mumeo au mtoto chezea mitandao ya kijamii[emoji23]
 
Nina uhakika huyo mwenye hilo eneo atatufukuza tu after kuona sura zetu
Yaani sipatii picha hiyo crew inakamilika paaap!! Nahisi nitaondoka mbavu zimekatika.
 
Kama ingewezekana ningetamani kukutana na Kiranga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…