Dah! Kujaribu kuhisi huyo espy eti anaweza kuwa sura ngumu kama chige itakuwa ni kumkosea kweli kweli manake itakuwa hata salamu njiani hazipati!Suala la kutamani kukutana na mtu anonymous kwangu hata siliwazii sana.
Yaani likija wazo la kwamba unaweza tamani kuonana na ID ya kike kama huyu espy unakuja kukuta kumbe ni mwanaume kama chige daaah, hapo hamu inakata kabisa[emoji23][emoji23]
Hata mnaotongoza PM mnajitahidi sana asee[emoji23][emoji23][emoji23]