yaan umeongea kwa hisia sana mkuu tutaonana tu usijalMiss natafuta, miss chaga, shunie na kasie... Nataman sana kuwaona hawa watu uso kwa uso! Ikibd kila m1 kwa nyakat tofaut, ushirikiano wenu tafadhali ... Kwa nia njema tu
Basi sawa, ukikumbuka utatutajaga......BAK
QUIGLEY
Daby
Saint Ivuga
lara 1
miss chagga
Nyani Ngabu
The bold
Kaboom
Sky Eclat
The Boss
Wengine nkiwakumbuka ntawataja pia.
Thank you love..Hakuna mwingine. Nilitamani nikutane nae huyu,Mungu akawezesha. She is the best friend I ever have.
Ahsante usijali ipo cku utaniona tuClkey na Joanitha.
Hahahahaa.. wewe pia na Heaven on EarthBasi sawa, ukikumbuka utatutajaga......
Good thinking, the rest in here are a hoax representationMe, myself and I only!
Usijali ipo siku utaniona tuShunie,Ukhuty,Mahonda,...pia Miss chaga unahusika...................
DuuhI and myself Numbisa
watu wa machale hatuendagi hovyo hovyo lazma tuulize mababu. bro mshana chukua manyanga hapo chini ya kigoda, fanya kweli uniambie ni nani nitatamani nikutane nae. NB: akiwa ke funga kabisa awe mchepuko wangu wa kudumu.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Exactly, hahahahaGood thinking, the rest in here are a hoax representation