Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Miss natafuta, miss chaga, shunie na kasie... Nataman sana kuwaona hawa watu uso kwa uso! Ikibd kila m1 kwa nyakat tofaut, ushirikiano wenu tafadhali ... Kwa nia njema tu
yaan umeongea kwa hisia sana mkuu tutaonana tu usijal
 
Mimi ni Lala1 na Sky Eclat hawa watu nahisi kama nawajua in real life.
 
Back
Top Bottom