Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

1. Mshana JR ila asije na vitendeakazi vyake (matunguli)
2. Bujibuji
3. Gentamycine
4. Alietoaga post inahusu kwa nini walimu wanavaa malonyalonya au oversize na ata akishona nguo mishono inakuwa ya kizamani Mfano. mishono ya Yondo Sister (jina nimemsahau) kiukweli japo siwajui ila natamani sanaaaaaaaaaaaa nionane nao.
Hahaaaaaa
 
Mkuu.....
Huo utelezi hapo kwenye avatar......[emoji39] [emoji39] [emoji39] ni wewe...!?
 
Shunie,Ukhuty,Mahonda,...pia Miss chaga unahusika...................
 
Ebu ngoja nisubiri atakae sema.....
Anatamani kukutana na mimi..[emoji101]
Tatzo hiyo mijino yako watu wanahisi kuwa ww ni robot si unamkumbuka mdau mmoja humu aliwahi sema kuwa humu kuna maroboti mkuu?
 
Back
Top Bottom