Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

62cc4929f87c9a937a881070c15181d9.jpg
karibu sana kitaani kwetu
Mabibo beach.....
 
Me love you u know. (In Jamaican voice)
Hii lugha huku kwetu ushirombo haijafika.....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Ebu ngoja nisubirie atakae elewa akuje anifanyie tafasiri....[emoji144] [emoji144]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kingine ninachopenda hamna kuuza sura umu labda ucheze na maneno mpak wakuelew
 
Ningependa nionane na Miss Chagga kwa kuwa uandishi na avatar yake hatar tupu,cpat picha huyu Bi Dada body structure yake na akili yake vkoje anyway ashukuriwe Mungu mwenyez muumba wa mbingu na nchi kwa kutuumba binadamu aina kwa aina
 
Duh, hakuna anayenitaja mpaka sasa?

Ila natamani kumuona"mzizi mkavu"!
 
Miss natafuta, miss chaga, shunie na kasie... Nataman sana kuwaona hawa watu uso kwa uso! Ikibd kila m1 kwa nyakat tofaut, ushirikiano wenu tafadhali ... Kwa nia njema tu
 
Back
Top Bottom