Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakufwa mm kama nawaona majini wakata kamba watakavyofurahi mpaka upate huruma ya mods ya uzi kufutwa watu wameshakujua
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]. Yani sipati picha wakunyumba.
 
Mweee mbona me sitajwii[emoji134] hamnipendi jamani? Naomba munipende km niliyo.
 
ukweli mie kwa wanawake natamani kukutana na wanwake wale very charming !yaan wana kautukutu fulan hv !sipendag kukaa na mtu mpoleee ambaye haongei !yaan napenda kukutana na mtu ambaye tukiamua kucheka tunacheka haswa na ikiwezekana kufanya kaukorofi fulan mweee mweee !

Evelyn Salt ,espy ,demi ,kapeace Demiss ,Mzigua90 Dinazarde ,Madam Mwajuma ,MADAM T ,Heaven Sent ,Nalendwa ,Neybright
yaan hapa aiseee uwiii
Ohooo mi ni mpole afu mkimya mnooo ukikaa na mie utaboreka ha ha ha japo najua hautaamini
 
Back
Top Bottom