Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Koteee tu andunjeeeEeeeh nione uandunje wake uko na ndani au nje tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koteee tu andunjeeeEeeeh nione uandunje wake uko na ndani au nje tu
hahahaha bas nakutoa !Ohooo mi ni mpole afu mkimya mnooo ukikaa na mie utaboreka ha ha ha japo najua hautaamini
Hahaaaa acha uoga bhana sinaga mambo hayo siku hiziIli ukuje kunianzishia thread eenh na huu uzee niliokuwa nao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] usikute tunagongana huko kwa mwendokasi hatujuaniNapenda sana. Na naomba mungu siku zote tugongane hata kwa MWENDOKASI
Hahahaaa mbona wengine nikiowaona sijawaandikia uzUsikubali wakunyumba. Hakawii kukuandikia siredi huyu.
Sawa. Nikija kuuza mazao yangu, nitakutafuta unipeleke huko mnaita FLAIOVASiku ukifanikiwa kuja mjini tutaonana
Basi nimefuta kauli. Sitak kumuona tenaKoteee tu andunjeee
Hapana beira baby boy hamkawii nyieHahaaaa acha uoga bhana sinaga mambo hayo siku hizi
Uje tu na hela ndugu yanguSawa. Nikija kuuza mazao yangu, nitakutafuta unipeleke huko mnaita FLAIOVA
Hahaaaaa unanichekesha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakufwa mm kama nawaona majini wakata kamba watakavyofurahi mpaka upate huruma ya mods ya uzi kufutwa watu wameshakujua
usinitoe nitakua hata kifesi wenu nawafotoa mkiwa mnacheka zenuhahahaha bas nakutoa !
Nitakuwa nazo za Mazao!Uje tu na hela ndugu yangu
[emoji3] [emoji3] usifute bhana .akija apa atanitukana nmemzibia rizik ykeBasi nimefuta kauli. Sitak kumuona tena
usinitoe nitakua hata kifesi wenu nawafotoa mkiwa mnacheka zenu
Unanizeesha lohKumbe mbaba jamani
Nimejua una muonea wivu shunie naye bila kujua kwel kakubalMara paaaaap Shunie bonge huyu hapaa.
He he cheka tu beira hakuna namnaHahaaaaa unanichekesha sana
Hahahahaaaa..usinitoe nitakua hata kifesi wenu nawafotoa mkiwa mnacheka zenu