Mtu ukiwa unalipwa 700k kwa mwezi, ni sawa kulipa kodi 100k?

Mtu ukiwa unalipwa 700k kwa mwezi, ni sawa kulipa kodi 100k?

Ina maana karibu 15% ya mishahara inalipa Kodi (chumba na sebule), chakula je?, usafiri je?, emergency?, savings je?, lazima utaona pesa inapotea tu....nadhani 15 % Iko juu kidogo, jiangalie mwenyewe Hali yako je Kwa kipato hicho na spendings zako in a raw calculation itakuja ngapi mwisho wa mwezi...Kwa kuwa Bado hujaoa basi jaribu kubana matumizi kadri uwezavyo yaani Kwa huo mshahara inabidi ujifunge mkanda, usipende kufuata mkumbo, ishi maisha yako...100k Kwa anayejitafuta ni pesa mingi sana...by the way sijajua uko mazingira gani.
 
Back
Top Bottom