God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Hakuna watu wanafiki Kama waliooa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?