joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Asilimia 50+ ya wanangu walio oa wanamichepuko isiyo na idadi. Yaani mimi bachelor na jiona kama nina utakatifu fulani.Hakuna watu wanafiki Kama wali-oa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?