God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Ndoa ni kwa walipo mature.. Siku hizi tunaingia kwenye ndoa wenye nyege na hisia zaidi na kundinyanaa.. nyege zikikata na hisia zikiisha lazima ukatafute anaekuoa hisia tena na nyegeHakuna watu wanafiki Kama wali-oa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?
Wanawake walio olewa Mara nyingi Sana wanatoa visingizio vya kijinga ili mradi tu wasiwape waume zao burudani ndio maana wanaume wanajiongeza na ma Haus gel, ma barmaid, dada poa n.k.Hakuna watu wanafiki Kama wali-oa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?
Unabadili nguo na mboga ili iwejeHakuna watu wanafiki Kama wali-oa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?
Huko ni kukosa nidhamu, kabla ya kuingia kwenye ndoa hakikisha zile tabia za nyuma umeziacha atleast by 75%, lakini pia ujaindae na changamoto za humo ndaniHakuna watu wanafiki Kama wali-oa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?
Swali zuriAnaoa kwaajili ya kutafutia watoto mama bora, wewe ukipata pesa ndio hutoenda tena kazini?? 😹😹
Watu wameoa kwa njee ila ndani ni ma single.Hakuna watu wanafiki Kama wali-oa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?
Ameoa ili apate watotoHakuna watu wanafiki Kama wali-oa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?