joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Asilimia 50+ ya wanangu walio oa wanamichepuko isiyo na idadi. Yaani mimi bachelor na jiona kama nina utakatifu fulani.Hakuna watu wanafiki Kama wali-oa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?
Huna pesa.Asilimia 50+ ya wanangu walio oa wanamichepuko isiyo na idadi. Yaani mimi bachelor na jiona kama nina utakatifu fulani.
Ameoa ili apate watoto
Kaka unakunywa beer gani?Jeuri, kiburi,uchafu,kutokujituma kitandani,kauli mabaya,kupenda migogoro n.k.....
Zinaweza kuchangia mwanamke kutafuta mbadala
Yale yale unanijua mimi au kuna siku nimekula kwenu, mbona mnashobokea wanaume. Kwa hiyo kuwa na wanawake wengi ndio kuwa na pesa,mbona unamawazo ya kipuuzi?,boda boda kila kona wana wanawake wana hela gani wale?Huna pesa.
😃😃🙏Kaka unakunywa beer gani?
Tukutane weekend upate beer za kutosha.
KIBURI hasa wakerewe
UCHAFU hasa wasafwa
KUTOJITUMA hasa wachaga
KAULI MBAYA hasa wanyakyusa
KUPENDA MIGOGORO Kama wote.
Na nyie muache visingizio, Mara kichwa linauma, Mara tumbo, Mara siko kwenye mood. Mood kitu gani ? Mtu akitaka kitu chake mpe, Tena mpe yote. Unashindwa kumpa mtu dakika tano ukijua kabisa ndio umemtuma akatafute mbadala.Wanaume mliooa, mnaitwaa huku, kuna jambo lenu mje mtoe ufafanuziii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna vitu ziada kwa dadapoa 😂Hakuna watu wanafiki Kama waliooa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?
Dada poa hakupi Raha Kama nyumba ndogo a.k.a mchepuko.Kuna vitu ziada kwa dadapoa 😂
Itakuwa mwanamke mwenzenu hamjamfunda na anachokifanya ni kumnyima jamaa kilicho7bisha akamuoa hali inayopelekea aje huko mnakojiuza ninyi ili angalau apate radha.Hakuna watu wanafiki Kama waliooa
Mtu ameoa Ila anashinda anazunguka sehemu za kukua Dada poa mwingine michipuko kibao .
Sasa umeoa ili iweje?
...dah!Asilimia 50+ ya wanangu walio oa wanamichepuko isiyo na idadi. Yaani mimi bachelor na jiona kama nina utakatifu fulani.