Mtu unamheshimu unakuta ameweka status ya 1980s challenge

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Hivi karibuni imeingia challenge maalum ya AI inayobadilisha picha yako ionekane kama ya miaka ya 1980

Inaweza kuitwa “AI 80s Challenge" au “1980s AI Photo Challenge

Upumbavu mtupu huko WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii sio madingi, mamaza sio majanja wote ni 80s challenge

Aibu utaona wewe​
 
Kwani wamekulazimisha uwaheshimu?

Picha zao, bando lao, Whatsapp yao, hawajakulazimisha kuangalia, povu la nini?
 
Nilikuwa sijapata taarifa ya hii kitu nikakuta jamaa yangu moja hivi kaweka,basi mie nakamuambia mkuu kwenye hiyo picha huyo ni mzee wako alipokuwa kijana-mumefanana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…