wanajf naomba mnijuze kuhusu hili, maana ninachofahamu ni kuwa yule anayesoma chemistry katika ngazi hiyo anawezafanya kazi viwandani, lakini huyu wa physics napata shida au ndio mpaka isomwe na education?
unachekesha! Instrumentation siyo ya kufanywa na mtu aliyesoma physics maana hawasomi control systems wala electronics wao ni pure sayansi labda tume ya sayansi na technologia.Anaweza afanye kiwandani kazi anazofanya mtu wa instrumentation, au kitengo cha atomic serikaline
unachekesha! Instrumentation siyo ya kufanywa na mtu aliyesoma physics maana hawasomi control systems wala electronics wao ni pure sayansi labda tume ya sayansi na technologia.
labda mimi ndie sielewi.... ivi kuna mtu wa physics tena levo ya degree anasoma physics bila ya kusoma electronics?
labda mimi ndie sielewi.... ivi kuna mtu wa physics tena levo ya degree anasoma physics bila ya kusoma electronics?
then akitoka hapo anafanya nini?
labda mimi ndie sielewi.... ivi kuna mtu wa physics tena levo ya degree anasoma physics bila ya kusoma electronics?
then akitoka hapo anafanya nini?