Mtu wa bachelor ya physics anawezafanya kazi gani tofauti na ualimu?

ntita

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
513
Reaction score
285
wanajf naomba mnijuze kuhusu hili, maana ninachofahamu ni kuwa yule anayesoma chemistry katika ngazi hiyo anawezafanya kazi viwandani, lakini huyu wa physics napata shida au ndio mpaka isomwe na education?
 
Anaweza afanye kiwandani kazi anazofanya mtu wa instrumentation, au kitengo cha atomic serikaline
 
hapo kwenye instrumentation umeniacha ndugu.
 
Anaweza afanye kiwandani kazi anazofanya mtu wa instrumentation, au kitengo cha atomic serikaline
unachekesha! Instrumentation siyo ya kufanywa na mtu aliyesoma physics maana hawasomi control systems wala electronics wao ni pure sayansi labda tume ya sayansi na technologia.
 
hapa tz hiyo tume ipo? kama ndio inajishughulisha na nini?
 
unachekesha! Instrumentation siyo ya kufanywa na mtu aliyesoma physics maana hawasomi control systems wala electronics wao ni pure sayansi labda tume ya sayansi na technologia.

labda mimi ndie sielewi.... ivi kuna mtu wa physics tena levo ya degree anasoma physics bila ya kusoma electronics?
 
Wanasoma electronics ndiyo lakini inakuwa too theoretical, practical yake inakuwa very weak!
 
kwa kuanzia kafundishe ndg zetu hilo somo huko advanced schools wakati unasubiri michakato mingine otherwise utaozea vijiweni.
 
physics inafaa sana kwa masuala ya uvuvi
 
Back
Top Bottom