Mtu wa computer science anaweza kujisajili na bodi ya ma-engineer upande wa computer engineer?

Mtu wa computer science anaweza kujisajili na bodi ya ma-engineer upande wa computer engineer?

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Naombeni kujua wakuu. Je kama mtu amesoma computer science anaweza kujisajili na bodi ya ma engineer kwenye upande wa computer engineer?
 
Hasara zake itabidi uwe unalipa ada kila mwaka ya usajili
Faida zake inategemea kazi unayotaka inahitaji uwe umejisiliwa
 
sorry mkuu faida na hasara zake unaweza kuniainishia mkuu, kama nikijisajili na sijasoma engineering
Naona chini umejibiwa, kimsingi kuna baadhi ya kazi inabidi uwe umesajiliwa na bodi, hivyo kama huna leseni inaleta shida kidogo
 
ok nimekuelewa mkuu shukrani sana
 
Hawezi kujisajili wala hatakubaliwa. Lazima usome Engineering
 
Back
Top Bottom