Ndio mkuu anaweza kujisajiliNaombeni kujua wakuu. je kama mtu amesoma computer science anaweza kujisajili na bodi ya ma engineer kwenye upande wa computer engineer?
Naona chini umejibiwa, kimsingi kuna baadhi ya kazi inabidi uwe umesajiliwa na bodi, hivyo kama huna leseni inaleta shida kidogosorry mkuu faida na hasara zake unaweza kuniainishia mkuu, kama nikijisajili na sijasoma engineering
BA Kiswahili tunasajiliwa wapi?
BakitaBA Kiswahili tunasajiliwa wapi?
Kwa kina One Sigalla sio?Bakita
Hata kama unabeba laptop ya boss wako tutakusajili ili tuongeze mapato..
Hahaha...si rahisi kuufikia ule uchumi wa kati wa juu bila kuongeza mapato na kutoa gawio kwa sirikali..πππππ daaah
Ma engineer wa kiwaswahili wapoHapana huwez, lazima uwe Engineer