Mtu wa kuchat nae WhatsApp (mwanamke)

Lakini nakuonea huruma, make utavunjwa magoti hadi ukome!
 
Mtumieni namba, ila wasap lazima atawaomba kifyendelelo, maana najua hana cha zaidi, zaidi ya kufanyia reasearch Kifyendelelo.
 
Mimi nina miaka 18. Ni mtanzania lakini siishi nchini. Niko nje kimasomo. Naongea English fluently na Kiswahili pia. Nataka tuchat WhatsApp ni inbox number.
We malizia kusoma bana utawapata tele ukimaliza masomo
 
Yaani badala ya kusoma unakaa kutafuta watu wa kuchat nao.halaf unakuja kuandika mapupu hapa kuwa upo nje unasoma. Sis watu wazima tupo ndani mida hii na tulishasoma kitambo na hatujaweka matangazo. Acha ushamba wewe kukude. Soma usitafute marafiki kwa style hiyo.
 
Ndo utafeli na hiyo nje yako, ubaki kuuza nyago ughaibuni, badala ya kujikita ktk masomo unatafuta marafiki kwenye mitandao!!! Hapo shuleni kwenu umekosa marafiki wa kuchart nao?
 
I am an 18 year old Tanzanian boy studying abroad looking for someone to chat with on WhatsApp. I'm fluent in both English and swahili. I just want to chat on WhatsApp. Inbox me your number
ok boy
 
Watu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''
ahahaaaa chezea mtu anapost huku anavuta hewa ya malkia wewe ana heshima yake bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…