Mtu wa kuchat nae WhatsApp (mwanamke)

Mtu wa kuchat nae WhatsApp (mwanamke)

Lakini nakuonea huruma, make utavunjwa magoti hadi ukome!
 
Mtumieni namba, ila wasap lazima atawaomba kifyendelelo, maana najua hana cha zaidi, zaidi ya kufanyia reasearch Kifyendelelo.
 
Yaani badala ya kusoma unakaa kutafuta watu wa kuchat nao.halaf unakuja kuandika mapupu hapa kuwa upo nje unasoma. Sis watu wazima tupo ndani mida hii na tulishasoma kitambo na hatujaweka matangazo. Acha ushamba wewe kukude. Soma usitafute marafiki kwa style hiyo.
 
Ndo utafeli na hiyo nje yako, ubaki kuuza nyago ughaibuni, badala ya kujikita ktk masomo unatafuta marafiki kwenye mitandao!!! Hapo shuleni kwenu umekosa marafiki wa kuchart nao?
 
Watu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''
ahahaaaa chezea mtu anapost huku anavuta hewa ya malkia wewe ana heshima yake bwana
 
Back
Top Bottom