Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau wa mwaka wa kwanza, natafuta mtu wa kunibeba mabibo hostel, kama uko tayari tuwasiliane, niko third year & worry out nitalipia kwa whole year
( plse help me coz hii issue inanipa headache sana.....!!!)
ww umeomba wadau wa mwaka wa kwanza (UDSM)
kwanini usibandike Tangazo hilo hapo Mabibo?
Mimi nataka kukubeba kila usiku nitakupataje
wadau wa mwaka wa kwanza, natafuta mtu wa kunibeba mabibo hostel, kama uko tayari tuwasiliane, niko third year & worry out nitalipia kwa whole year
( plse help me coz hii issue inanipa headache sana.....!!!)
Ke o me
usijali kaka maisha kusaidiana, m nimechaguliwa apo coict udsm 1st year m ntakubeba bure tu wala usijali mana aya maisha leo una shida wewe kesho yaweza yakanikuta. ni pm number yako.
ni kweli usemayo, ila nadhani ukimsaidia mtu inabidi ajiongeze afate tabia zako km nna tabia kama zake au tofauti, suala la pesa kunilipa ili nimbebe hapana japo m ni mtanzania wa hali ya chini.