- Thread starter
- #21
Hapo ndio tatizoNatamani uipate ili nasi tujifunze kama uwezekano upo wa kuipata..shida police hatuwaamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio tatizoNatamani uipate ili nasi tujifunze kama uwezekano upo wa kuipata..shida police hatuwaamini
Shukran sana mkuu, ishi sanaUna 100% ya thinking capacity
Hongera sana mkuu..
Nachooamini hapo ulipo wewe una kazi ya kufanya hongera kwako..
Maneno ya mtu mwenye kazi na asiye na kazi ni tofauti kabisa.
Hongera mkuu
Mwezi Novemba 2024 mama aliibiwa simu nyumbani na fundi ujenzi, tukaripoti polisi na kupata RB. Kuna mtu nilimpa IMEI ya simu akafanya yake, baada ya wiki 2 (Disemba 2024) simu ilipowekwa hewani tu tukampata mtumiaji na maaskari wakamkata na alilipa Tshs laki 3, askari wa mkoani nikawaachia 100,000/= na 100,000/= nilimpa askari aliyetafuta simu (DAR) na 100,000/= ikabaki kwangu.Wadau habari zenu, simu yangu iliibiwa juzi kati mtu alichomoa dirishani. Sasa nimeicheck kwa kutumia google inaonekana mara ya mwisho ilisomeka maeneo fulani(napajua) pia nimeitumia Samsung Find ambayo inaweza kupata location ya device hata ikiwa offline na inaonekana ipo maeneo fulani ambayo sio mbali sana na ninapoishi.
Nahitaji mtu(ikiwa ni polisi itakuwa bora zaidi) ili kufuatilia zaidi especially hili eneo la mwisho.
Loss report na imei number vyote ninavyo ila pia chochote hakitakosekana kama simu ikipatikana, nisaidieni kabla haijauzwa mbali zaidi.
Location ni Dar Kigamboni
mkuu si uniunganishe na huyo wa Dar?Mwezi Novemba 2024 mama aliibiwa simu nyumbani na fundi ujenzi, tukaripoti polisi na kupata RB. Kuna mtu nilimpa IMEI ya simu akafanya yake, baada ya wiki 2 (Disemba 2024) simu ilipowekwa hewani tu tukampata mtumiaji na maaskari wakamkata na alilipa Tshs laki 3, askari wa mkoani nikawaachia 100,000/= na 100,000/= nilimpa askari aliyetafuta simu (DAR) na 100,000/= ikabaki kwangu.