Jozedan56009
Member
- Mar 3, 2023
- 34
- 31
Ni mbaya kuliko kukaa nyumbani bila kazi ... kama uwezi kufanya hio kaz tulia . Anayeweza atakuja . Usifanyie watu maamuzi ndugu .... hizi professional ziko kila nchi na zina wataalamu wake !!Aisee muwe mnasema kabisa ni street randomer (door to door) au anafanyia office ilipo
Hizi mitikasi za kuwatembezesha wanyonge majaba makubwa na mapoti si nzuri kwa kweli
Mkuu wanakuja ila be honestly iyo kazi ni kutembeza madishi vikombe chupa za Chai...asanteHabari,
A Sales and marketing officer is needed. (Cheti sio muhimu )
Skills needed
1. Deals closer
2. Uwe na ushawishi
3. Marketing skills
NB : Should be able to help reach monthly target
Salary 200k monthly plus 10 percent commission per each deal closed .
Location: Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam.
Call: 0678650509
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee muwe mnasema kabisa ni street randomer (door to door) au anafanyia office ilipo
Hizi mitikasi za kuwatembezesha wanyonge majaba makubwa na mapoti si nzuri kwa kweli
Ajibu hapa na mie nataka kujua.Ni sales wa kazi gani mkuu nimuunganishe mtu aje
Office work .... office to office deals and tender . Mtu mwitaji anapiga simu anaelekezwaAjibu hapa na mie nataka kujua.