Mtu wa Watu: Ally Kiba Aangusha bonge la party Marekani kumpongeza Millen Magese

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,283
Reaction score
541
Nimefurahishwa sana na nilivosikia kitendo cha Kingkiba alivoungana na mwenzake ommy dimpoz kwenda kumpongeza dada yetu mpenda happiness magese ambae juzi kati kapata mtoto baada ya mapambano ya muda mrefu, ikumbukwe dada yetu anamatatizo ya endometriosis...

kwa niaba ya JF napenda mpongeza sana kiba na ommy kwa upendo huo. Wengine wapo bize kushindana mitandaoni nyie mnafanya mambo mazuri chinichini bila kujikweza, mnaacha alama mioyoni mwa watu wanaohitaji faraja.

fuatilia hapa kujionea.

 
Hadi umesikia hizo taarifa tayari ni kujikweza hapo
 
Umeanza vizuri , ila una akili ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…