ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 541
Nimefurahishwa sana na nilivosikia kitendo cha Kingkiba alivoungana na mwenzake ommy dimpoz kwenda kumpongeza dada yetu mpenda happiness magese ambae juzi kati kapata mtoto baada ya mapambano ya muda mrefu, ikumbukwe dada yetu anamatatizo ya endometriosis...
kwa niaba ya JF napenda mpongeza sana kiba na ommy kwa upendo huo. Wengine wapo bize kushindana mitandaoni nyie mnafanya mambo mazuri chinichini bila kujikweza, mnaacha alama mioyoni mwa watu wanaohitaji faraja.
fuatilia hapa kujionea.