GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
“ Baada ya Ukame wa muda mrefu wa kutofikishwa Kileleni hatimaye Mbao FC amefikishwa Kileleni vizuri sana na Simba SC “.
Kuna Mtu mpaka muda huu nimeshamuacha ameenda ‘ Kutibiwa ‘ Meno yake ya Barazani baada ya kuonana nami njiani na hata hajanijulia hali kama Mila na Desturi zetu za Kitanzania haraka haraka ‘ akakurupuka ‘ kuniambia hiyo Kauli hapo juu.
Na nina uhakika hadi kufikia leo jioni kuna watapata sana tabu pamoja ‘ Majeraha ‘ ya Kutukuka kabisa kama wakinitania hivyo.
Nawasilisha.