Mtu wa Yanga akiniambia huu ‘ Utani ‘ basi atakuwa ameniharakishia ' Tiketi ' yangu ya kwenda kuishi Gerezani Segerea!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Baada ya Ukame wa muda mrefu wa kutofikishwa Kileleni hatimaye Mbao FC amefikishwa Kileleni vizuri sana na Simba SC “.

Kuna Mtu mpaka muda huu nimeshamuacha ameenda ‘ Kutibiwa ‘ Meno yake ya Barazani baada ya kuonana nami njiani na hata hajanijulia hali kama Mila na Desturi zetu za Kitanzania haraka haraka ‘ akakurupuka ‘ kuniambia hiyo Kauli hapo juu.

Na nina uhakika hadi kufikia leo jioni kuna watapata sana tabu pamoja ‘ Majeraha ‘ ya Kutukuka kabisa kama wakinitania hivyo.

Nawasilisha.
 
Simba mtapata tabu na yule kocha wenu Bondia sijui mwanamieleka!.
 
Baada ya Ukame wa muda mrefu wa kutofikishwa Kileleni hatimaye Mbao FC amefikishwa Kileleni vizuri sana na Simba SC “.

Kuna Mtu mpaka muda huu nimeshamuacha ameenda ‘ Kutibiwa ‘ Meno yake ya Barazani baada ya kuonana nami njiani na hata hajanijulia hali kama Mila na Desturi zetu za Kitanzania haraka haraka ‘ akakurupuka ‘ kuniambia hiyo Kauli hapo juu.

Na nina uhakika hadi kufikia leo jioni kuna watapata sana tabu pamoja ‘ Majeraha ‘ ya Kutukuka kabisa kama wakinitania hivyo.

Nawasilisha.
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom