GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ha ha ha“ Baada ya Ukame wa muda mrefu wa kutofikishwa Kileleni hatimaye Mbao FC amefikishwa Kileleni vizuri sana na Simba SC “.
Kuna Mtu mpaka muda huu nimeshamuacha ameenda ‘ Kutibiwa ‘ Meno yake ya Barazani baada ya kuonana nami njiani na hata hajanijulia hali kama Mila na Desturi zetu za Kitanzania haraka haraka ‘ akakurupuka ‘ kuniambia hiyo Kauli hapo juu.
Na nina uhakika hadi kufikia leo jioni kuna watapata sana tabu pamoja ‘ Majeraha ‘ ya Kutukuka kabisa kama wakinitania hivyo.
Nawasilisha.