Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Lengo za Lizarazu nimelielewa analeta vitu kama hivyo ili atugawe matabaka[emoji23][emoji23][emoji23]ameahindwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisa kaona kwenye haya maswala letu moja kaamua sasa atupeleke kwenye maswala ya mpira maana anajua huko tutakuwa tofauti sasa sijui anadhani wanawake ni kama wanaume kwamba eti na sisi tunapenda mpira saaanaaa kama wao kiasi cha kufikia hatua ya kujenga uadui kisa mpira[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndo unalazimisha msamaha sasa. Forgiveness is earned; not given. Possibly utasemehewa; ila ndo uwe mpole katika muda huo wa mpito. Wewe hukuona umuhimu wake; leo yamekukuta huko (eeh possibly bila kupata majanga usingerudi kwa mkeo); ndo umeona umuhimu. Just like in the same way hakukulazimisha umthamini; usimlazimishe akusamehe instantly. Hata akikumalizia hasira; muache tu; endelea kuwa mtiifu ili uuvune msamaha wake.

Afu msamaha wa mtu anayerudi after kupatwa na majanga; unakuwa haujulikani kama ni genuine au ndo kisa umepatwa: mambo yakiwa poa tena you are back to your old safe. Mpe time; mpe sababu ya kukusamehe: vumilia tu vimbwanga vyote kama ambavyo yeye alikuvumilia. Sio kila mtu ni strong kusamehe mapema; wengine wanasamehe taratibu
Kiukweli umesema vema sana, uliyo yasema ni kweli kabisa na ndivo wengi wanavyofanyiwa.

Silazimishi msamaha, lakini kuna njia nyingine ya kurekebisha hilo, zaidi ya kusamehe?

Unadhani ukiutumia wakati wa hali ngumu kujipoza hayo machungu kwa kumdharau mumeo, kumdhihaki na kumkatisha tamaa na kumkomoa ndio itakuwa njia nzuri ya kumfunza na kumaliza machungu ulio nayo?? akiweka chuki zaidi kwasababu ya hayo unayo yafanya unadhani kutakuwa na suluhu tena hapo??

Tatizo linamalizwa kwa kutengeneza tatizo lingine?? au na wewe umeamua kukubaliana naye kwa kuunga mkono ujinga wake kwa njia ya wewe kuanzisha visasi??

Moyo we furaha ni dawa nzuri maandiko ni kweli yamesema, lakini nadhani umesahau kuwa njia pekee ya kurudisha furaha ya moyo ni kusamehe.

Kusamehe sio lazima ila ni lazima kama unania ya kujenga upya uhusiano ulio yumba, ila kama huna lengo hilo basi lipiza visasi na mwisho wa visasi nadhani unauja.
 
Yo not even kidding, well hatuwaonei wivu bali kuchepuka kwenu kunainajisi familia. Na kiimani/kiroho unapochepuka means umeua ndoa hivyo kuihuisha inahitaji juhudi za ziada za wote wawili. Mnamkaribisha shetani wenyewe ndani ya familia then mnaanza kutafuta mchawi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]

I wish mngekuwa na akili na ufahamu wa kuchambua mambo kwa kutumia utashi mlopewa na muumba na kuona madhara yake pasipo kujitetea ujinga. Mkeo akilalamikia kuchepuka kwako means anakupenda na anataka mlinde kiapo chenu, utulie na mjenge familia yenu ambayo ndio msingi wa yote.

Bad enough mkishavuruga bado wanawake ndio wanakesha na kulia kuzinusuru ndoa, ukitaka kujua wanawake wanathamini sana ndoa zao just fanya research ya wanaohangaika na makungwi just kuwaridhisha, nenda makanisani angalia wanaohangaika kuziombea ndoa zao. Ukipata jibu then chukua hatua.
Ooooooh Haleluya.......!
 
Ndo unalazimisha msamaha sasa. Forgiveness is earned; not given. Possibly utasemehewa; ila ndo uwe mpole katika muda huo wa mpito. Wewe hukuona umuhimu wake; leo yamekukuta huko (eeh possibly bila kupata majanga usingerudi kwa mkeo); ndo umeona umuhimu. Just like in the same way hakukulazimisha umthamini; usimlazimishe akusamehe instantly. Hata akikumalizia hasira; muache tu; endelea kuwa mtiifu ili uuvune msamaha wake.

Afu msamaha wa mtu anayerudi after kupatwa na majanga; unakuwa haujulikani kama ni genuine au ndo kisa umepatwa: mambo yakiwa poa tena you are back to your old safe. Mpe time; mpe sababu ya kukusamehe: vumilia tu vimbwanga vyote kama ambavyo yeye alikuvumilia. Sio kila mtu ni strong kusamehe mapema; wengine wanasamehe taratibu
Kuwasamehe haraka hivyo ili[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Mbona hawana mioyo iliyopondeka jamani. Wavumilie tu maana mambo mazuri hayataki haraka.
 
Ukweli gani huo yaani ile hoja yako ya kusema tuwasaidie majukumu yenu ndo ukweli unauzungumzia?

Ndio mwanaume msaliti anakosea hata mwanamke pia ila ile hoja yako na sisi tufanye shughuli zenu big noo
Hahahaha aise kwangu mwanaume ni yule muaminifu na anayenijali ila yule msaliti na mnyanyasaji kwangu ni takataka tu na hatakaa aipate heshima yangu katu abadani tatizo hamtaki kuambiwa ukweli na tukiwaambia ukweli mnasema tunashindana na nyie ila huo ndiyo ukweli mchungu mkubali mkatae nyie endeleeni kujitutumua ila hamjui tu jinsi tunavyowachukulia
 
Kuwasamehe haraka hivyo ili[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Mbona hawana mioyo iliyopondeka jamani. Wavumilie tu maana mambo mazuri hayataki haraka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaaa good things come to those who wait, ila hiyo sentensi yako ya mwisho imenimaliza wallah.
 
Ukweli gani huo yaani ile hoja yako ya kusema tuwasaidie majukumu yenu ndo ukweli unauzungumzia?

Ndio mwanaume msaliti anakosea hata mwanamke pia ila ile hoja yako na sisi tufanye shughuli zenu big noo
Hiyo ya kutusaidia majukumu yetu sikumaanisha kwa wanaume wote nilimaanisha kwa wale wanaume ambao wamewaachia wake zao majukumu ya baba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaaa good things come to those who wait, ila hiyo sentensi yako ya mwisho imenimaliza wallah.
Sasa wao wanataka msamaha wa haraka haraka wakati watu wana machungu ya muda mrefu kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom