Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Ukajua kombora jipya limekuja[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukaanza kuwaza namna ya kujiopoa, maana makombora yaliyopo tu Ni hatari,ghafla linaibuka jipya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Point yangu ni kwamba kama mke anasaidia majukumu ya mume basi hata mume naye asaidie majukumu ya mke mimi mbona sentensi yangu uki straight kabisa sema naona kama hapa unazunguka tu sijui 50/50 sijui ulinzi yaani kwanza unavyosisitizia huo ulinzi utadhani hatari huwa zinatokea kila siku kwenye nyumba moja

Yaani ni sawa ufananishe majukumu ya kila siku na majukumu ya kila mwaka mimi ndo maana nikakwambia hilo jukumu la kulinda lifananishe tu na jukumu la kuzaa maana hayo majukumu siyo ya kila siku (hata kama mume hawezi kuzaa ila mke anaweza kulinda)
 
Sasa mbona haujajibu swali langu huwa mnaturuhusu tujiongoze wenyewe na hamkasiriki?
Kwa hiyo kumbe hamuongozwi kwa 100%? So kumbe kuna muda hata wewe mwenyewe unafanya maamuzi yako bila kukihusisha kichwa?
 
Hahahaha Lizarazu bwana ndo maana nikasema sisi mambo tunayoyaongea siyo matakwa yetu binafsi bali ndivyo mwanaume anavyotakiwa kuwa kwenye ndoa kama anataka mkewe afurahi ila kama hataki mkewe afurahi basi ndo anaweza kuwa kama ninyi mnavyotaka

Na kwa sababu wanaume hamjali furaha za wake zenu basi ndo maana hata tukisema mambo yanayotupa furaha mkiyafuata mnaona kama vile mmejishusha sana na mmekuwa siyo wanaume tena basi sawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lingekuwa kombora jipya mbona angeachana na hii shughuli
Ukajua kombora jipya limekuja[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukaanza kuwaza namna ya kujiopoa, maana makombora yaliyopo tu Ni hatari,ghafla linaibuka jipya[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Utaratibu mwanaume asimame katika zamu yake kutaka kusaidiwa sana kunaweza kukutoa katika reli, ukikwama pambana iwe unatiwa moyo au la, nijukumu lako, unapaswa kufanikiwa katka mazingira yeyeto. Ukitiwa moyo unabahati usipotiwa moyo pambana na hali yako songa mbele.

Ushauri wowote lazima upimwe historia ya ushauri wa wanawake kuna sehemu unakwama sana unaweza kujiletea matatizo mwenyewe au wajukuu wako.

Lazima ukumbuke kuwa kejeli pia ni sehemu ya motivation, wako watu ambao kejeli ndizo zilizowasukuma mbele kuliko kutiwa moyo. Hamna kuleta sababu ya kutokufanikiwa hakikisha unafanikiwa kwa njia yeyote kejeli ikiwemo pia.
 
Hahahaaaaaa, imebidi nicheke... Mke wangu aliwahi kuniambia kwa hasira...."utaishia kufanya vibarua" mwisho wa kunukuu, ila dua zake zilikua kama za kuku kwa mwewe.....Dah aloo! Mungu atusaidie
 
Sasa hayo walipaswa waambiwe wanaume na wayafanyie kazi
 
Sasa mbona haujajibu swali langu huwa mnaturuhusu tujiongoze wenyewe na hamkasiriki?
Hili suala la nyie kukubali kuongozwa na sisi lipo midomoni tu, lakini in reality hakuna kitu kama hicho endapo kama ingekuwa ni kweli hamjiongozi wenyewe hata kidogo basi malumbano yasingekuwepo ndani ya ndoa
 
Ukishasema tu
"haya tunayosema ndio mwananaume anavyotakiwa awe" wakati huo hata sio general principles za namna mtu anavyotakiwa awe/aishi, tayari hapo unakuwa umeongelea matakwa yako binafsi
 
Sasa hata kwa sisi wanawake tukipata wanaume waaminifu na wapole tunaanzaje kuwa wajeuri na wakorofi?
Mwanamke kwa uhalisia huwa hapendi mwanaume mpole na muaminifu. Mwanamke yoyote ukimwambia sifa za mwanaume anayemtaka cha kwanza atasema wanataka wanaume wapole na waaminifu kwenye vinywa vyao lakini kiuhalisia wanawake wanawapenda sana wanaume walevi, mala.ya na wakorofi. Ukikuta nyumba ambayo mwanaume ni mpole na mwaminifu basi mke lazima anachepuka na anamdharau sana mwanaume.
 
siyo kwa hii bongo! namshukuru MUNGU kwa kunipa nguvu na ujasiri ktk maisha yangu. ila si binadamu mwenzangu ambae hajui hata sekunde yake 1 ijayo itakuwaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…