Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

why is it important? kwanini usubirie validation ya mtu yeyote seuze mke au mume?
 
Huyu Edelyn inaonekana bwana wake wa kwanza alimtesa sana kama sio hivyo basi alishuhudia mambo ya ajabu kutoka kwenye familia yao aidha mama yake or dada yake aliyopitia.
Yaani inaonekana ameshaharibika kutokana na manyanyaso na maonevu. Hata psychologically anaonekana hayupo sawa kabisaaa. Yaani ana dady issues zile nzito nzito. Nakuonea huruma sana. Pole.
Kama ni hivyo basi wanaume karibia wote wa jf mna matatizo uloyaeleza hapo juu.
 
Back
Top Bottom