Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Naona naozeshwa kimtindo....Wacha we!! Ungetumention tu tuone mapema.
Sasa kwa taarifa yako hao ulotutaja hapo ndio wife material haijawahi tokea. Yaani ukitaka kuifaidi ndoa hao ndio wa kuoa.
Umewasahau na manengelo. Heaven Sent Khantwe Mother Confessor Sakayo
Huwa hawataki kusikia ukweli...
Kauli mbiu #achaunafikiuendembinguni#