Mtu yeyote anaeishi kwa kujikombakomba ni mvivu mkubwa

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Angalia sifa kuu ya mtu yeyote ambae huishi kwa kujikomba komba au kujipendekeza kwa watu, mara nyingi hawa ni watu wenye sifa kuu ya kuwa wavivu wakubwa...mfano ndugu zangu warangi hawapendi kazi ngumu, hawapendi kazi zinazotumia kiwango kikubwa cha kufikiri yaani kutumia akili nyingi....
 
Una ugomvi na warangi weweeee🤔
 
Mara nyingi huwa chawa. Chakula chao hutokana na kusifia watu na kujikomba baas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…