NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
Kuna myth imekua ikiendelea kua baadhi ya vitu ni kipaji mtu anazaliwa nacho kama kuimba, kuchora etc...
nsiongelee kuimba japo yeyote anaweza kuimba, leo naongelea kuchora.. Mtu yeyote yule anaweza kuchora, na hua siko superstitious (not sure if its the right place kulitumia hili) maana ninajua vitu vingi tunavoita vipaji ni simply mtu anajifunza anaweka effort mwisho wa siku anakua good at it, ile ati unazaliwa nacho hua wavivu walioshindwa wanajitetea....
Mimi nlikua napata tabu sana kuchora kwa mkono, ukiniambia nimchore mtu kwa mkono ntachora kituko, kilichonisaidia tatizo langu ilikua ni kitabu nlidownload kutoka kwenye internet kinaitwa "Drawing from the right side of the brain" kwa yeyote anayependa kujua kuchora akisoma hiki kitamsaidia sana......
Matatizo wengi waliyonayo yanayofanya washindwe kuchora good paintings ni kama:
1. unavotaka kupata picha mfano ya mtu, wengi huweka akilini picha na wanaanza kuchora mtu, usichore mtu, fikiria shapes, edges, shadows, jaribu kuweka everything into simple lines afu unganisha picha ya mtu itakuja yenyewe
2. concentration, ukiwa unakaa unapiga kelele wakati unachora, tatizo ni hili hapa, kuna pande mbili za akili, mambo kama kuongea hutoka upande wa kushoto mwa akili, wachoraji wazuri hutumia upande wa kulia, unahitaji kuconcentrate on images uaccess upande wa kulia na si kutumia wa kushoto kwenye kuchora lazima uvuruge...
3. Kingine mtu akianza tu kuchora anaona kaharibu basi ashakata tamaa anarudi na kuanza kujitetea ati kuchora ni kipaji mtu anazaliwa nacho.. foolishness.. kua vizuri kwenye kuchora inachukua muda mrefu, yaeza kua mwaka, au hata miaka kumi kuweza kumaster na kuchora realistic looking paints, effort yako ndio itakayosave muda...
Kwa watu ambao wako vizuri kwenye hesabu na science wanaotumia sana logic ni vigumu sana kua wachoraji sababu wamezoea sana kutumia upande wa kushoto, ukihitaji ujue kuchora inabidi uanze mazoezi kutumia upande wa kulia wa akili na hili litakusaidia kwa mengi sana ikiwemo kufanya ubongo wako uwe active na si tu kuconcentrate upande moja...