Mtu yeyote anayeamini kuwa tumepigwa kwa kuilipa fidia kwa Kampuni ya Indiana hana akili timamu

Hatujapigwa ila tumepata hasara ya kujitakia.

Hicho kitalu tunaweza kumpa mtu kwa $90M? if that was posible mbona wasirudishiwe leseni wafanye kazi.

Mleta mada umesimplify mambo sana
Mkuu kitalu- maana yake hakuna established deposit; hapo mineral deposit imekuwa established after sizable investment-wewe bado unaita Kitalu kweli?! wewe utakuwa GEN-Z +
 
View attachment 3056862
Kampuni ya Indiana ilipewa lesesi ya kutafuta madini na kuanzisha mgodi. Ikafanya hivyo kwa gharama zake tena gharama kubwa.

Tanzania kama taifa tukatumia Resource nationalism bullying tukawafutia leseni bila kuwalipa fidia wala kurudisha gharama zao. Kwa maana nyingine tukapata mgodi bila kuingia gharama zozote za kutafuta mgodi.

Tunaishi kwenye dunia ya utawala bora tumepelekwa mbele ya sheria ili kila mwenye stahiki yake apewe.
Sheria imeelekeza turudishe gharama alizotumia Indiana kuyatafuta madini na mgodi. Sisi wenye eneo tumebaki na mgodi.

Katika mantiki hiyo hakuna upande uliopata hasara Indiana wamepata hela zao sisi tumepata mgodi. Ikiwa tuna uwezo wa kuchimba tuchimbe; kama hatuna tutamkodishia mtu mwenyeuwezo achimbe tutagawana fidia.

Kinachoshangaza ni kuona watu wanadhani tumepigwa ni wajinga wakielewa wataacha kwa sababu watakuwa wameelewa kwamba ni wajinga.

Pia soma
- Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92
Mpwaà hawa ndio walioshiiikiliaa ndege na kuna miezi inakuja kabla ya octb ukisikia ndege nyingjne imepakiwa nchi flan kaa kimyaaa nyuki anaendelea kutoa asali
 
Ni kichaa tu anayeamini kuwa huo mkataba na hiyo kampuni ulikuwa unamanufaa Kwa nchi
Wewe ulishakaririshwa mkataba mkataba. Kwa taarifa yako hakukuwa na mkataba bali leseni halali ya kufanya jambo halali
 
We huna akili tu tuishie hapo. Hao wazungu exploration ya hilo eneo hawajatumia hata $10m. Wamelipwa $90m bila kufanya kazi yeyote. Nani mpuuzi hapo? Wabongo ujuaji mwingi industry kama huijui uliza uelimishwe sio kujifanya msemaji wa kila kitu. Kama niuchawa basi umepitiliza.
Wewe ka burn CD
 
Ni kichaa tu anayeamini kuwa huo mkataba na hiyo kampuni ulikuwa unamanufaa Kwa nchi
Hakukuwa na mkataba wowote waliwanyanganya tu Retention Licence zao kwa Tanzania kufuta hiyo class ya Leseni bila kuwapa mbadala hivyo wakapoteza haki zao za umiliki wa hivyo vitalu.
 
We huna akili tu tuishie hapo. Hao wazungu exploration ya hilo eneo hawajatumia hata $10m. Wamelipwa $90m bila kufanya kazi yeyote. Nani mpuuzi hapo? Wabongo ujuaji mwingi industry kama huijui uliza uelimishwe sio kujifanya msemaji wa kila kitu. Kama niuchawa basi umepitiliza.
kasome mwenendo wa kesi utaona cost zilivyokuwa established na third part-kajipange kama huwezi anza kutukana maana matusi ndiyo kinga ya mjinga kama wa namna yako
 
Unaona ambavyo huna akili. badala ya kujibu hoja unarukia kutoa vikauli vya kitoto.
Utoto explicitly umedhihirishwa na wewe- unastahili kujibiwa kwa kauli za utoto. 10M USD kufanya exploration na ithibitishwe na baraza la usuluhishi kiasi cha kufanya iwe tuzo- unadhani watu wote duniani ni wajinga siyo?
 
Mkuu kitalu- maana yake hakuna established deposit; hapo mineral deposit imekuwa established after sizable investment-wewe bado unaita Kitalu kweli?! wewe utakuwa GEN-Z +
Indiana Chairman Bronwyn Barnes commented: “For the past 18 years Indiana and its partners have workedcooperatively and diligently with Tanzania in developing the Ntaka Hill Nickel Project, and to date, in excessof AUD$60 million has been invested in defining the current resource and preparing development plans andstudies.

UKIWA NA D MBILI UTAELEWA HAPO JUU.
 
View attachment 3056862
Kampuni ya Indiana ilipewa lesesi ya kutafuta madini na kuanzisha mgodi. Ikafanya hivyo kwa gharama zake tena gharama kubwa.

Tanzania kama taifa tukatumia Resource nationalism bullying tukawafutia leseni bila kuwalipa fidia wala kurudisha gharama zao. Kwa maana nyingine tukapata mgodi bila kuingia gharama zozote za kutafuta mgodi.

Tunaishi kwenye dunia ya utawala bora tumepelekwa mbele ya sheria ili kila mwenye stahiki yake apewe.
Sheria imeelekeza turudishe gharama alizotumia Indiana kuyatafuta madini na mgodi. Sisi wenye eneo tumebaki na mgodi.

Katika mantiki hiyo hakuna upande uliopata hasara Indiana wamepata hela zao sisi tumepata mgodi. Ikiwa tuna uwezo wa kuchimba tuchimbe; kama hatuna tutamkodishia mtu mwenyeuwezo achimbe tutagawana fidia.

Kinachoshangaza ni kuona watu wanadhani tumepigwa ni wajinga wakielewa wataacha kwa sababu watakuwa wameelewa kwamba ni wajinga.

Pia soma
- Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92
Kwa kusoma ile habari tu wewe unaamua kuwa hakuna kupigwa, au tu kwa kuwa unataka kuhalisha kuwa JPM alikuwa mkurupukaji?
Umeongelea kinadharia sana, ungeweka na numbers, hapo ningekuelewa. Nchi ikiwa weak inaliwa. Kuna nchi ambayo haiheshimu mikataba kama China ? Unanyang’anywa na unafukuzwa na huwezi kushitaki. Watanzania wako complicit kwa wizi. Kama yule wakili Mkono alivyoshiriki kuibia Tanesco. Mtanzania anaweza muwa complicit kuibia bank ya Tanzania akishirikiana na Muhindi, Mchina au Mzungu. Lakini hapo hapo hao hawawezi kufanya hivyo kuibia nchi zao.
 
Ameen, sahihi kabisa, ngoja waje wabeba jeneza, watakushambulia sana
 
Kwa kusoma ile habari tu wewe unaamua kuwa hakuna kupigwa, au tu kwa kuwa unataka kuhalisha kuwa JPM alikuwa mkurupukaji?
Umeongelea kinadharia sana, ungeweka na numbers, hapo ningekuelewa. Nchi ikiwa weak inaliwa. Kuna nchi ambayo haiheshimu mikataba kama China ? Unanyang’anywa na unafukuzwa na huwezi kushitaki. Watanzania wako complicit kwa wizi. Kama yule wakili Mkono alivyoshiriki kuibia Tanesco. Mtanzania anaweza muwa complicit kuibia bank ya Tanzania akishirikiana na Muhindi, Mchina au Mzungu. Lakini hapo hapo hao hawawezi kufanya hivyo kuibia nchi zao.
Mkuu nimetoka na neno moja tu TANZANIA SIYO CHINA;TANZANIA SIYO DHURUMATI
 
Kwa kusoma ile habari tu wewe unaamua kuwa hakuna kupigwa, au tu kwa kuwa unataka kuhalisha kuwa JPM alikuwa mkurupukaji?
Umeongelea kinadharia sana, ungeweka na numbers, hapo ningekuelewa. Nchi ikiwa weak inaliwa. Kuna nchi ambayo haiheshimu mikataba kama China ? Unanyang’anywa na unafukuzwa na huwezi kushitaki. Watanzania wako complicit kwa wizi. Kama yule wakili Mkono alivyoshiriki kuibia Tanesco. Mtanzania anaweza muwa complicit kuibia bank ya Tanzania akishirikiana na Muhindi, Mchina au Mzungu. Lakini hapo hapo hao hawawezi kufanya hivyo kuibia nchi zao.
Si mlaumu JPM; SIYO DHAMBI kutaifisha kwani hata Nyerere alitaifisha lakini kutaifisha bila kulipa fidia ni dhambi- dhuluma
 
Indiana Chairman Bronwyn Barnes commented: “For the past 18 years Indiana and its partners have workedcooperatively and diligently with Tanzania in developing the Ntaka Hill Nickel Project, and to date, in excessof AUD$60 million has been invested in defining the current resource and preparing development plans andstudies.

UKIWA NA D MBILI UTAELEWA HAPO JUU.
ongeza na hii utapata ukweli
 
Pesa za makinikia zimerudi kwao
 
Back
Top Bottom