Mtu yeyote mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea anapaswa kuomba TIN

Mtu yeyote mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea anapaswa kuomba TIN

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370
TIN BANNER.jpg
 
Aswa! Aswa! Umenena Kuna maduhuli mengi yanatotakiwa kukusanywa yanapotea bure kupitia kwake na kuisabishia selikari hasara
 
Uzi wa kumuhusu Yule kijana mdogo wake na Tajiri GSM mmeuona?!

Anajiita "Counselor Salaah"

Upekueni muuone muusome kwa makini, mshirikishe nguvu za ziada mkakusanye mapato yenu... na ikiwezekana mumuwajibishe!
We mtata kweli naona unamsagia jamaa kunguni [emoji1]

Ova
 
Mbona baada ya kupata TIN sjapewa document file ya kudownload TIN yangu na nikitaka kuingia kwenye acc yangu ya TRA inalzimisha nichange password
Kama ushawahi kupata TIN hautengenezi mpya

Ingia login alafu ingia forgot password

Kupata TIN no.

Ingia apply TIN- TIN APPLICATION STATUS -INGIZA NIDA NO. Ita display mama ulikuwa na NIDA kipindi unaomba

Kudownload TIN DOCUMENT ni baada ya kureset password

Utaingia kwenye my account
 
Tyr nimereset Ila nikiingia inadai ni reset tena
 
Munataka muje kutudai kodi za kichwa sio. Mana naona madelu anakopa tu kwa sababu anajua sisi ndio tutalipa
 
TRA Tanzania muupitie na huu uzi

Ngazi za juu kwenye sekta tajwa ana watu wake tayari kwaio hakuna kitakachoendelea
Ova
 
Uzi wa kumuhusu Yule kijana mdogo wake na Tajiri GSM mmeuona?!

Anajiita "Counselor Salaah"

Upekueni muuone muusome kwa makini, mshirikishe nguvu za ziada mkakusanye mapato yenu... na ikiwezekana mumuwajibishe!
Kwamba hawajui lolote as if ni mfanyabiashara undeground !!!??
 
TRA Tanzania
Karibuni JF, Jitahidini Sana Kujibu Hoja, Maswali, Ufafanuzi Muda Wote

Hapa Tunajivunia Tanesco Pekee Ndiyo Wepesi Eneo Lao Kujibu Chochote Kiulizwacho Bila Kujari Kimewafurahisha/Kuwaudhi

Sasa Chukueni Ushauri Wangu Unayeendesha Account Uwepo Live
 
Back
Top Bottom