Kukujibu Hawataki Wakati Mama Anawataka Wajibu Hoja Za WananchiUzi wa kumuhusu Yule kijana mdogo wake na Tajiri GSM mmeuona?!
Anajiita "Counselor Salaah"
Upekueni muuone muusome kwa makini, mshirikishe nguvu za ziada mkakusanye mapato yenu... na ikiwezekana mumuwajibishe!
Halafu nilitoa wazo la kuwapunguzia usumbufu walipa kodi wenu kuja kupanga foleni kila baada ya miezi 3, kwa ajili ya malipo ya kodi! Mtaanza lini kutumia mfumo kama ule wa wenzenu wa Idara nyingine za Serikali?
Mliangalie hili nyie TRAHalafu nilitoa wazo la kuwapunguzia usumbufu walipa kodi wenu kuja kupanga foleni kila baada ya miezi 3, kwa ajili ya malipo ya kodi! Mtaanza lini kutumia mfumo kama ule wa wenzenu wa Idara nyingine za Serikali?
Mfano kuna Idara moja ya maji ambayo mimi ni mteja wao! Kila bill inapotoka, wananitumia control number kupitia ujumbe mfupi (sms) kwenye simu yangu, then nalipia!
Ila nyinyi mpaka mlipa kodi aje ofisini kwenu, halafu apange foleni! Ndiyo mumtolee hiyo cotrol number! Hivi inaleta mantiki kweli!! Yaani hela ni ya kwangu, bado mnaninyanyasa!!
Aisee mjitahidi kubadilika. Lakini pia muende na wakati.
Haya maswala ya kupangisha foleni wateja, inadhirisha uwezo wenu wa ubunifu ulivyo duni, mnatumia mbinu za enzi za mkoloni, waambieni wakubwa wenu wajiongeze kupunguza keto ya kuwapotezea muda watu.Halafu nilitoa wazo la kuwapunguzia usumbufu walipa kodi wenu kuja kupanga foleni kila baada ya miezi 3, kwa ajili ya malipo ya kodi! Mtaanza lini kutumia mfumo kama ule wa wenzenu wa Idara nyingine za Serikali?
Mfano kuna Idara moja ya maji ambayo mimi ni mteja wao! Kila bill inapotoka, wananitumia control number kupitia ujumbe mfupi (sms) kwenye simu yangu, then nalipia!
Ila nyinyi mpaka mlipa kodi aje ofisini kwenu, halafu apange foleni! Ndiyo mumtolee hiyo cotrol number! Hivi inaleta mantiki kweli!! Yaani hela ni ya kwangu, bado mnaninyanyasa!!
Aisee mjitahidi kubadilika. Lakini pia muende na wakati.
Watajijua na ujinga wao! Waarab na wahindi wanatajirikia hapa... nyie watu weusi mna ubavu wa kutajirikia kwao?! Hii miwatu bure kabisa! 😏Kwamba hawajui lolote as if ni mfanyabiashara undeground !!!??
Iwapo unataka kufunga biashara unawajibika kuandika barua na kuitaarifu TRA kusudio la kufunga biashara yako.Ila kama ni Kampuni unatakiwa uanzie Brella kufunga hiyo kampuni kisha uitaarifu TRA kimaandishi.Natamani kujua mtu aliyefunga biashara process za TRA inakuwaje?
Haya ndo mnayoyaweza, mengine mmefunga macho na masikio