Mtuelewe tuna nia nzuri tu, tutauana hivi mpaka lini?

Mtuelewe tuna nia nzuri tu, tutauana hivi mpaka lini?

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Bodaboda ndio chanzo cha uzi huu. Hawana za kuendesha hivi vyombo. Reckless driving. Wanakunywa, wanavuta mavi ya ng'ombe. Hawa usalama barabarani wana nini lakini?

Ni mara ngapi mnaambiwa mtafute mbinu hamuelewi?

Ni vyombo muhimu but why you people are dumb?! Mtuelewe tuna nia nzuri tu. Tutauana hivi mpaka lini?
 
Wa kulaumiwa wa mwanzo kabisa ni mamlaka wanaotoa leseni za udereva kwa watu wasiojua sheria za barabarani na wasio na ujuzi na uzoefu wavyombo vya moto
 
Bodaboda ndio chanzo Cha Uzi huu. Hawana za kuendesha hivi vyombo. Reckless driving. Wanakunywa, wanavuta mabi ya ng'ombe. .. Hawa usalama barabarani Wana Nini lkn?

Ni Mara ngapi mnaambiwa mtafute mbinu hamuelew?

Ni vyombo muhimu but why you people are dumb?! Mtuelewe tuna Nia nzuri tu. Tutauana hivi mpaka lini

Una uhuru wa:

1. Kuchukua bodaboda mstaarabu, na kwa kuangalia tu sura zao utajua huyu anafaa.

2. Una uhuru wa kuchukua taxi au kununua subaru ukaendesha mwenyewe ukafurahia.

3. Unaweza ukatumia seven eleven pia ukatembea na kumaliza matatizo yako.

Kwa kifupi, tasnia hii ya usafiri wa Boda boda, imeleta mageuzi makubwa sana kwenye nchi hii, ni wewe tu kuamua cha kufanya.
 
Back
Top Bottom