Bodaboda ndio chanzo Cha Uzi huu. Hawana za kuendesha hivi vyombo. Reckless driving. Wanakunywa, wanavuta mabi ya ng'ombe. .. Hawa usalama barabarani Wana Nini lkn?
Ni Mara ngapi mnaambiwa mtafute mbinu hamuelew?
Ni vyombo muhimu but why you people are dumb?! Mtuelewe tuna Nia nzuri tu. Tutauana hivi mpaka lini
Kuna uhuru wa kuvunja sheria za usalama barabarani..?Una uhuru wa:
1. Kuchukua boda boda mstaarabu, na kwa kuangalia tu sura zao utajua huyu anafaa...
Kuna uhuru wa kuvunja sheria za usalama barabarani..?