Mtuhumiwa pale anapounda Tume ya Uchunguzi ila Mnaona watu bado ni wa Zama zile?

Mtuhumiwa pale anapounda Tume ya Uchunguzi ila Mnaona watu bado ni wa Zama zile?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Kweli sikio la kufa haliwezi kuskia dawa aya maigizo yataishaia wapi na yatawasaandia nini?

Tume ya mzee Ali kibao bado hatujapata matokeo yake leo unaunda tume nyingine ya Kujichunguza mwenyewe?

Nyie ndo mnasema mnaweza kutoa katiba mpya kwa mambo mnayofanya never hakuna Katiba mpya inayoweza kupatikana ila mnajua kuwajaza hasira Watu
 
Back
Top Bottom