Mtuhumiwa wa Bangi alalamika kufutiwa kesi mara 5 bila kuachiwa kwa miaka 8

Mtuhumiwa wa Bangi alalamika kufutiwa kesi mara 5 bila kuachiwa kwa miaka 8

WaTz na mifumo yetu tuwe na utu! Miaka 8, kuna ushahidi gani mpya utakaoibuka, zaidi ya kusahau hata yaliyotokea? Wanasheria wanafanya mambo kama hawajasoma?!
Hajafikia kiwango cha rushwa inayotakiwa na wapelelezi.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Huyo hakimu evodia kyaruzi namjua personally, alikua hakimu mahakama ya wilaya kahama! Ndo akahamishiwa huku, aisee huyo dada hachukui rushwa hata Senti mia yaani yupo straight tuliwahi kupata msala tukataka kumpa kibunda alitufukuza kama mbwa


Kuja uliza ma secretary yaani hata wao hawampendi Kila michongo wakimpa anawatolea nje, huyo dada kiboko
Kama anachukia rushwa, kwa nini asingewaweka ndani kwa nia ya kumhonga?
 
Back
Top Bottom