Maafisa wa upelelezi wa mauaji wamemkamata Kennedy Kalombotole, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kutisha ya wagonjwa wawili katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa Kalombotole alilazwa hospitalini hapo tangu Desemba 1, 2024.
Mauaji ya hivi karibuni yanayomuhusisha yanadaiwa kutokea Alhamisi, Julai 17, 2025, ambapo mgonjwa Edward Maingi Ndegwa, aliyekuwa amelazwa katika wodi ya 7B, alikutwa amefariki kwa hali ya kutatanisha. Ndugu wa marehemu walieleza kuwa walimwona akiwa na hali nzuri saa 7:30 mchana, lakini takriban saa 8:00 mchana, mfanyakazi wa usafi alikuta damu shingoni mwa mwili wa marehemu
Polisi walipofika eneo la tukio walifuata alama za kandambili zenye damu zilizotoka pembeni ya kitanda cha marehemu hadi chooni na hatimaye kuishia chumbani alikolazwa Kalombotole. Ndani ya chumba hicho, walikuta kandambili za buluu, shuka lenye doa la damu na kisu kilichofungwa kwenye glavu, kilichotupwa nje ya dirisha la wodi. Vitu hivyo vyote vimepelekwa Maabara ya Kitaifa ya Kisayansi kwa uchunguzi zaidi. Aidha, Kalombotole anahusishwa pia na mauaji ya Gilbert Kinyua Muthoni yaliyotokea Februari 6-7, 2025 katika wodi ya 7C
Taarifa za kesi hiyo zimewasilishwa kwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP), ambayo imeagiza uchunguzi zaidi kufanikisha mashtaka. Kalombotole bado yuko rumande akisubiri kufikishwa mahakamani
====
Homicide detectives have arrested Kennedy Kalombotole, the prime suspect in the shocking murders of two patients at Kenyatta National Hospital
Preliminary investigations indicate that Kalombotole was admitted to the facility on December 1, 2024
The most recent killing allegedly executed by the arrested suspect occurred on Thursday, July 17, 2025, when Edward Maingi Ndegwa, who had been admitted to Ward 7B, Group C (Male), on July 11, was found dead under suspicious circumstances
Initial accounts reveal that the patient was last seen stable at 1:30PM by a relative
However, around 2:00PM, a hospital cleaner discovered blood around the victim’s neck
Detectives responding to the scene found a trail of bloody slipper prints leading from the bedside to a nearby toilet and ultimately to another room where Kalombotole was admitted.
In this room, they recovered a pair of blue slippers and a blood-stained bedsheet
A knife wrapped in gloves was also retrieved from the ground below the ward’s window
All items have been submitted to the National Forensic Laboratory for analysis
Investigations have also linked Kalombotole to the killing of Gilbert Kinyua Muthoni, who was murdered in Ward 7C between February 6 and 7, 2025
A case file has been submitted to the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP), which has called for further investigation to strengthen the prosecution’s case
Kalombotole remains in custody as processing continues ahead of his arraignment
Source: Buzzroomkenya