Hivi siku hizi WATUHUMIWA wa MAUAJI wanapewa dhamana?!
Sasa wanataka tuingie porini, hii serikali ya ki.we.te inaudhi sana, udini udini. hadi lini tumechoka...
Hivi siku hizi WATUHUMIWA wa MAUAJI wanapewa dhamana?!
serikali ya ccm inahusikana hawezi mtuhumiwa dhamana laki tano uhai wa mtu hata billioni mia huwezi kupata wananchi amukeni kumekucha sasa
Mtuhumiwa wa mauaji ya padri Mushi, Omar Mussa ameachiwa kwa dhamana na mahkama kuu Vuga.
Hii ikoje?? Kesi ya mauaji, tena yenye hisia za udini, halafu mtuhumiwa anapewa dhamana?? Hii ni ajabu!!
mauaji padre mushi: Mahakama kuu z'bar yamuachia kwa dhamana omar mussa makame anayetuhumiwa kumuua e. Mushi. Wadhamini 2 wasaini dhamana ya laki 5 kila mmoja.
Hivi kesi za mauaji ya kukusudia zina dhamana?
Zanzibar hakuna mahakama huru ... na polisi pia hakuna,udini umepitiliza ... kule muongozo ni quran tu.
"Muuwaji" maana yake nini mkuu? Yule alikuwa ni mtuhumiwa tu na isitoshe alituhumiwa kwa kuwa amefanana na kile kikaragosi kilichochorwa na CIA lakini POLICCM imeshindwa kuthibitisha tuhuma kwa huyo mtu kwa zaidi ya miezi 9 ambapo kisheria ni ama aachiwe huru au apewe dhamana. Sasa ulitaka aachiwe huru au?
siamini kama polisi na wanausalama wa serikali ya KIKWETE wameshindwa kumkamata mtuhumiwa. Kikwete anaendesha nchi wakristo wanateseka