Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi aachiwa kwa dhamana

Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi aachiwa kwa dhamana

Sasa wanataka tuingie porini, hii serikali ya ki.we.te inaudhi sana, udini udini. hadi lini tumechoka...
 
Hivi siku hizi WATUHUMIWA wa MAUAJI wanapewa dhamana?!

huyu kapakaziwa ..wanafanya mambo machafu znz wanajulikana ni maskani tu..hayo mambo ya acid kuchoma makanisa na kupiga mapadre wanafanya janja weed wa maskani
hili lipo wazi ndio maana hatokamatwa mtu..lengo lao ni kukorofisha amani na mshikamano ,hawa janjawed bila ya vurugu znz wao hawana chao maslahi yao ni zero so wao ndio wanao fanya na jeshi la polisi linajua hayo..na ndio maana yule Mussa polisi akahamishwa kwani ni mtu wa maskani
anyway amepewa dhamana kama Dito na Elizabeth Michael alie muua Kanumba yupo njee ana piga picha za utupu
 
padre aliuliwa na serikali ya ccm ili kuwagombanisha na waislam..
 
Sasa wanataka tuingie porini, hii serikali ya ki.we.te inaudhi sana, udini udini. hadi lini tumechoka...

sio udini ni sera ya mfumo wenyewe mfumo huu hutoa kafara na kafara ndio hizi...soma zaidi
huyu kapakaziwa ..wanafanya mambo machafu znz wanajulikana ni maskani tu..hayo mambo ya acid kuchoma makanisa na kupiga mapadre wanafanya janja weed wa maskani
hili lipo wazi ndio maana hatokamatwa mtu..lengo lao ni kukorofisha amani na mshikamano ,hawa janjawed bila ya vurugu znz wao hawana chao maslahi yao ni zero so wao ndio wanao fanya na jeshi la polisi linajua hayo..na ndio maana yule Mussa polisi akahamishwa kwani ni mtu wa maskani
anyway amepewa dhamana kama Dito na Elizabeth Michael alie muua Kanumba yupo njee ana piga picha za utupu
 
Hii ikoje?? Kesi ya mauaji, tena yenye hisia za udini, halafu mtuhumiwa anapewa dhamana?? Hii ni ajabu!!
 
serikali ya ccm inahusikana hawezi mtuhumiwa dhamana laki tano uhai wa mtu hata billioni mia huwezi kupata wananchi amukeni kumekucha sasa
 
serikali ya ccm inahusikana hawezi mtuhumiwa dhamana laki tano uhai wa mtu hata billioni mia huwezi kupata wananchi amukeni kumekucha sasa

mkuu, kama umefatilia mambo hata Arusha walilipua kanisani na kukamata vijana wakiwaminya sehemu za siri ili wamtaje kuwa lema ndiyo amehusika...
 
Sheria inatamka, mtuhumiwa(SIO MUUAJI) narudia MTUHUMIWA, katika kesi ya mauaji atakaa mahabusu katika kipindi cha siku 90 mahabusu, mwendesha mashitaka akishindwa kutia ushahidi wa kumtia hatiani MTUHUMIWA, basi aachiwe huru au apewe dhamana.
 
Hii ikoje?? Kesi ya mauaji, tena yenye hisia za udini, halafu mtuhumiwa anapewa dhamana?? Hii ni ajabu!!

Mkuu Serikali ya ccm ikitumia POLICCM na CIA wameshindwa kupata ushahidi wa kumtia hatiani huyo mtu tofauti na sura yake kufanana na kile kikaragosi kilichochorwa na CIA kwa muda wa zaidi ya miezi 9. Kisheria ni either serikali ikiri kuwa imekosa ushahidi wa kumtia hatiani na jamaa aachiwe huru au apewe dhamana huku serikali ikiendelea kukusanya ushahidi. Sasa hapo lipi bora?
 
MAUAJI PADRE MUSHI: Mahakama Kuu Z'bar yamuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame anayetuhumiwa kumuua E. Mushi. Wadhamini 2 wasaini dhamana ya laki 5 kila mmoja.

Hivi kesi za mauaji ya kukusudia zina dhamana?
 
Kumbukeni mwanzo kamanda Mussa a.k.a "mijino"aliposema wamekamilisha ushahidi,mkurugenzi wa mashtaka akakataa kufungua kesi na akatamka hadharani Kwamba bado hajaona Sababu ya kumfungulia mashtaka na akamtaka kamanda kama yeye anahisi kwa ushahidi basi amfungulie yeye,baadae baada ya shindikizo kutoka upande wa pili pamoja na wahafidhina wa Zanzibar tukaona kesi imefunguliwa miezi 9 sasa hamna ushahidi ushahidi wowote
 
mauaji padre mushi: Mahakama kuu z'bar yamuachia kwa dhamana omar mussa makame anayetuhumiwa kumuua e. Mushi. Wadhamini 2 wasaini dhamana ya laki 5 kila mmoja.

Hivi kesi za mauaji ya kukusudia zina dhamana?

huyo jamaa sio muuji anatuhumiwa kuua, tafuta kamusi uangalie maana ya tuhuma
 
Zanzibar hakuna mahakama huru ... na polisi pia hakuna,udini umepitiliza ... kule muongozo ni quran tu.

hongereni huko bara kuwa na mahakama huru. maana mte saji wa dr. ulimboka haki imetendeka!. dr. mvungi nae haki itatendeka!. nasikia huko huwa mnatumi biblia ktk kuamua kesi. hongera sana
 
Ni rais kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, kuliko MKRISTO KUPATA HAKI ZANZIBAR.
 
"Muuwaji" maana yake nini mkuu? Yule alikuwa ni mtuhumiwa tu na isitoshe alituhumiwa kwa kuwa amefanana na kile kikaragosi kilichochorwa na CIA lakini POLICCM imeshindwa kuthibitisha tuhuma kwa huyo mtu kwa zaidi ya miezi 9 ambapo kisheria ni ama aachiwe huru au apewe dhamana. Sasa ulitaka aachiwe huru au?

mtuhumiwa anaweza kua ndio muuaji. Kwanza jiulize kwann cia wasinichore mimi au wewe wakamchora yeye? Isitoshe inasemekana huyu mtu ana misimamo yake mikali. Atakua yeye tu but Mungu aonae sirini atalipa.
 
Back
Top Bottom