Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi aachiwa kwa dhamana

Ni NGUMU SANA KWA MKRISTO KUPATA HAKI ZANZIBAR, NI NGUMU SANA KWA MKRISTO KUPATA HAKI KWENYE SERIKALI HII YA kikwete wa CCM!...
Hy haki unayoitafuta utaipata akiingia Padre Dr SLAA ,,,, ila ufaham huko unapodai wakristo hawana haki, kuna Masheikh ambao n viongozi w dn wanazaidi y mwaka ndani n hawajapata walau dhamana ,,,,, hv unazijua sababu zinazomnyima mtuhumiwa dhamana ? Au unaongozwa n msukumo mkali w imani yk n kusahau haki n sheria ? Hy Kikwete mdini n lini aliwahi kumfunga jela walau kiongozi w kanisa ? Au husomi karibu kila ck mara wamelawiti mara kunajisi watoto mara kuzaa n wk z wt au nd dv 5 ? N mabilioni mangapi amechangia kanisani ? Kafanya hvy misikitini ?

Tafakuri.....[/QUOTE]
 
vipi ushahidi umekamilika...? au ndio kirismasi kwanza....!
 
Nnachojua kesi ya kuua kwa makusudi ( murder) haina dhamana ila manslaughter unaweza kupata dhamana kwa Zanzibar. Naamini hata kama ni upendeleo haiwezekani kuwa hivyo kabisaaa. Labda kafutiwa shitaka
 
mtuhumiwa anaweza kua ndio muuaji. Kwanza jiulize kwann cia wasinichore mimi au wewe wakamchora yeye? Isitoshe inasemekana huyu mtu ana misimamo yake mikali. Atakua yeye tu but Mungu aonae sirini atalipa.

Wewe huoni mkuu wa Polisi Musa Ali Musa ameachishwa kazi kule Zanzibar badala yk amekuwa mkuu wa Polisi Jamii kule Tanganyika., Yeye ndie aliyesema ile michoro ni ya kweli na mtuhumiwa ndie aliyeuwa., Hizi kazi za security zinahitaji taaluma ya hali ya juu na Tz kote taaluma hizo ni ndoto., Ni kubambikiziana kesi tu unapomchukia mtu., mwachen mtuhumiwa akale kuku na watoto wake astarehe na familia yk.,,
 
kesi za mauaji zinadhamana nowadays!!!!

kwani ujaskia a.k.a Musa ''njino'' mkuu wa Polisi kule Zanzibar ameachishwa kazi na kuwa mkuu wa Polisi Jamii kule bara., hii ni kutokana na kuboronga ktk kumbambikizia kesi mbaya huyu jamaa., kwa nn asipewe dhamana? na muda umepita miez 9 sasa hakuna ushahidi., yale makatuni yenye barakashia ata ww unaweza kuwa ndie uliyemuua bos wk padre mush.,
 
Wewe wakupime uwezo wako wa ki akilli wakristu wanateseka kivipi -------- wewe na wala sio Mjinga.
 
Tunapojadili issues za maana na wengine wanaleta masuala ya kitoto ni upuuzi mkubwa,Tunajadili kivipi muuaji wa kukusudia kapewa dhamana sasa wewe unasema Kikwete ni mdini ,Kama huna cha kuchangia piga kimya Tuache utoto kwenye kwenye isssue serious.
 
Ah ah ah ah siku 14 zinakaribia tuone sinema za siasa za kibongo
kati ya zitto na chadema. Zittoooooo oyeeeeeeeeeee.
 
mtuhumiwa anaweza kua ndio muuaji. Kwanza jiulize kwann cia wasinichore mimi au wewe wakamchora yeye? Isitoshe inasemekana huyu mtu ana misimamo yake mikali. Atakua yeye tu but Mungu aonae sirini atalipa.


Ikithibitika ni yeye naungamkono kuwa adhabu kali juu yake ikiwepo kunyongwa au kifungo cha maisha imshukie! Mimi simtetei isipokuwa nawalaumu polisi kushindwa kumthibitisha kwa muda wote huo.
 
hongereni huko bara kuwa na mahakama huru. maana mte saji wa dr. ulimboka haki imetendeka!. dr. mvungi nae haki itatendeka!. nasikia huko huwa mnatumi biblia ktk kuamua kesi. hongera sana

Hawa michogo ya bara vichwani kuna funza kwasababu wanakula ngurue.
 
Serekali na watawala wanaposhindwa kusimamia sheria haki na usawa huku wananchi wakiendele kukosa imani nao na kubaki kuisi kuna utawala wa kibauguzi katika misingi ya kusimamia sheria,haki na usawa ni hatari kuliko moto na siku itakapolipuka hakuna hata moja atakaye baki sala kwa hilo, watu wana uwawa wauaji awapatikani, watu wanateswa watesaji hawapatikani, wanachomwa tendikali wachoji wapatikani huku viongozi wakiendelea kutuhumiwa katika kufanya biashara haramu za pembe za ndovu na madawa ya kulevya hii ni hatari kuliko yote
 
Inawezekana kweli hakuhusika! Lakini pale ikithibitisha na kupatikana muhusika NASHAURI AUWAWE KWA MAWE kama yaliyo mkuta mw/kiti wa ccm mwanza! Wananchi tunaelekea kupoteza imani na serikali yetu! Imeanza tayari anayeua na yeye auwawe hapohapo! Make vyombo hivi vya kifara utasikia eti wanafanya upelelezi hata kwa mtu aliyekamatwa na mkono wa mtu au kichwa cha mtu! Kesi inashughulikiwa miaka na miaka!
 
Ukiona hivyo muuaji wa kweli ameshajulikana huyo alikua geresha tu.
.Inawezekana polisi wamejua kama ameuwawa na wauuza unga wenziwe.wauza unga wakidhulumiana hawapelekani polis wana malizana tu.
 
binafsi,
kila nikutanapo/nimuonapo muislam,najihisi niko mahali ambapo si salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…