MamaBeata
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 325
- 112
Lulu amepataje dhamana?
kesi ya lulu ni ya mauaji ya bila kukusudia. Hiyo huwa na dhamana. Ila mauaji ya kukusudia ndo hayana dhamana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lulu amepataje dhamana?
mtuhumiwa anaweza kua ndio muuaji. Kwanza jiulize kwann cia wasinichore mimi au wewe wakamchora yeye? Isitoshe inasemekana huyu mtu ana misimamo yake mikali. Atakua yeye tu but Mungu aonae sirini atalipa.
Taarifa imefika Nini maoni yako mtoa mada?
kesi ya lulu ni ya mauaji ya bila kukusudia. Hiyo huwa na dhamana. Ila mauaji ya kukusudia ndo hayana dhamana.
kesi za mauaji zinadhamana nowadays!!!!
mtuhumiwa anaweza kua ndio muuaji. Kwanza jiulize kwann cia wasinichore mimi au wewe wakamchora yeye? Isitoshe inasemekana huyu mtu ana misimamo yake mikali. Atakua yeye tu but Mungu aonae sirini atalipa.
Unajua maana ya dhamana?
Na unajua mambo gani mtu yanayofanya akose dhamana?
hongereni huko bara kuwa na mahakama huru. maana mte saji wa dr. ulimboka haki imetendeka!. dr. mvungi nae haki itatendeka!. nasikia huko huwa mnatumi biblia ktk kuamua kesi. hongera sana
.Inawezekana polisi wamejua kama ameuwawa na wauuza unga wenziwe.wauza unga wakidhulumiana hawapelekani polis wana malizana tu.Ukiona hivyo muuaji wa kweli ameshajulikana huyo alikua geresha tu.
Lulu anepateje dhamana?