JanguKamaJangu JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 2,780 Reaction score 6,607 Aug 24, 2022 #1 Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022
Dady-P Member Joined Aug 23, 2022 Posts 9 Reaction score 8 Aug 24, 2022 #2 Shida Tanzania ukiwa na cheo, vitu kama hivyo unachomoka tu
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Aug 24, 2022 #3 Hili linafikirisha sana
CIA mgumu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2022 Posts 962 Reaction score 1,934 Aug 24, 2022 #4 ππππ€£ Tanzania
sifi leo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,182 Reaction score 8,948 Aug 24, 2022 #5 Huyu jamaa ni mwanajeshi kanzu
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Aug 24, 2022 #6 sheria inatambua mtuhumiwa ni mtu anayeshukiwa na tuhuma fulani,wala hajathibitika. sijajua haki zake za msingi zinafutikaje kwa yeye kutuhumiwa.magazeti kazi yao ni kutafuta ugali.
sheria inatambua mtuhumiwa ni mtu anayeshukiwa na tuhuma fulani,wala hajathibitika. sijajua haki zake za msingi zinafutikaje kwa yeye kutuhumiwa.magazeti kazi yao ni kutafuta ugali.
sifi leo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,182 Reaction score 8,948 Aug 24, 2022 #7 Huyu jamaa alilikodi juzi
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Aug 24, 2022 #8 JanguKamaJangu said: View attachment 2333135Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022 Click to expand... Udaku unarejea kwa kasi ya 6G
JanguKamaJangu said: View attachment 2333135Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022 Click to expand... Udaku unarejea kwa kasi ya 6G
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Aug 24, 2022 #9 JanguKamaJangu said: View attachment 2333135Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022 Click to expand... Naona ni bonge la mpasho na salaam kwao, lazima kuna maandalizi yalifanyika, connect dots
JanguKamaJangu said: View attachment 2333135Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022 Click to expand... Naona ni bonge la mpasho na salaam kwao, lazima kuna maandalizi yalifanyika, connect dots