Mtuhumiwa wa Ufisadi atinga TAKUKURU na gari la Jeshi

Mtuhumiwa wa Ufisadi atinga TAKUKURU na gari la Jeshi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Fa5wFTJXoAETYUs.jpg
Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022
 
Shida Tanzania ukiwa na cheo, vitu kama hivyo unachomoka tu
 
sheria inatambua mtuhumiwa ni mtu anayeshukiwa na tuhuma fulani,wala hajathibitika.

sijajua haki zake za msingi zinafutikaje kwa yeye kutuhumiwa.magazeti kazi yao ni kutafuta ugali.
 
Back
Top Bottom