Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Halafu mtuhumiwa ana ambiwa kabisa ana kesi ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana lakini bado yuko uraiani.... tuliambiwa uchunguzi umekamilika kwa 99.9%; nadhani inasubiriwa hiyo 0.1% ikamilike kabla ya kumchukulia hatua stahiki.
Na watalipwa fidia kwa kupotezewa mudaHii kesi baada ya miaka miwili, watuhumiwa wote wataonekana hawana kesi ya kujibu.
Kama wamekiri ni kweli,sasa hapo watakachoulizwa ni nini sasa,hapo kinachofuata ni sheria fuata mkondo basi.Hii kesi baada ya miaka miwili, watuhumiwa wote wataonekana hawana kesi ya kujibu.
Unahamasisha watu wakemee kwa ushahidi upi,wakati mwingine ukikaa kimya tu itakusaidia sana kwa kuwa huna unalolijua kwenye issue hiyo.Kwa awamu ya tano sheria zina macho, ukiwa ccm wewe unatamba tu.lugola alipaswa kuwa ndani, magu kambeba.wapinzani tokeni hadharani mkemee hill.
Labda wajichanganye kuhama chama!Hii kesi baada ya miaka miwili, watuhumiwa wote wataonekana hawana kesi ya kujibu.
Mkuu mpinge kwa hoja, leta/weka ushahidi wa alichoandika. Vinginevyo na wewe unapenda tu ligi.Unahamasisha watu wakemee kwa ushahidi upi,wakati mwingine ukikaa kimya tu itakusaidia sana kwa kuwa huna unalolijua kwenye issue hiyo.
We unajua nn zaidi ya kulamba viatu vya watawala tu Mkuu.tulidai Uhuru ili kuwe Na usawa Mkuu.Unahamasisha watu wakemee kwa ushahidi upi,wakati mwingine ukikaa kimya tu itakusaidia sana kwa kuwa huna unalolijua kwenye issue hiyo.
Hii ilikuwa kesi nyingineDPP awafutia kesi kina Lugola
Mkurugenzi wa Mashtaka, amewagwaya wabunge watatu; Kangi Lugola wa Mwibara na wenzake wawili, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya rushwa baada ya kuwafutia mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili katikawww.mwananchi.co.tz